Tuesday, April 22, 2014

Kufunguliwa Rasmi kwa SACCOS ya Kiislaam Zanzibar

Assalaamu Alaykum

Ndugu Muislam, unaarifiwa kuwa ile SACCOS ya kwanza ya Kiislam, Zanzibar imeanza rasmi na inaitwa ISLAMIC SACCOS OF AL-HILAAL (iSA),
taratibu za kujiunga ni kama ifuatavyo:-
  • Utahitajika kuchukuwa FOMU ya kujiunga kwa TZS 10,000
  • Utahitajika kutoa ADA ya mwezi yaTZS 2500 ambayo sawa na TZS 30,000 kwa mwaka
  • Utahitajika kujiwekea AKIBA ya kuanzia angalau TZS 5,000 na yaweza ongezeka kadiri ya malengo ya mwanachama
  • Utahitajika kununua HISA kwa thamani ya TZS 5,000 kwa kila HISA, jumla ya hisa zote za kuanzia ili kukamilika rasmi uanachama ni HISA 20 na jumla ya gharama zote za hisa za kuanzia ni TZS 100,000 ambazo zinahitajika kukamilika ndani ya mwaka mmoja. Utalazimika kununua HISA angalau mbili kwa kuanzia.
  • Kukopa ni mara mbili ya AKIBA ya Mwanachama
  • Mtu ataruhusiwa kukopa baada ya miezi minne kuanzia tarehe ya kukamilika rasmi uanachama wake pamoja na kukamilisha ADA ya mwaka mzima.
  • Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia:
  • Ofisi yetu iliyopo Magomeni/Toronto Barabara ya kuelekea Mchina Mwanzo mbele kidogo ya Mh Abdallah Mwinyi (Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar)
    • Khamis M Pembe  +255 689 384 987
    • Suleiman M Haji    +255 712 073 683
    • Sharif M Haji          +255 778 776 226 

iSA kwa Mkopo Bila Riba

2 comments:

  1. Good to have kind of institution in Zanzibar where more thn 90% are muslim.

    Alhamdulillah Allah wafeqnaa limaa tuhibbuhu wa tardhaahu Amen.

    ReplyDelete
  2. Alhamulilah Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wanaichukia riba

    ReplyDelete