Wednesday, April 2, 2014

Taarifa Muhimu

Assalaamu Alaykum
Ofisi ya Asasi ya Islamic Saccos of Al-hilaal inakaribia kukamilika kwa matengenezo (renovation) ambayo yalijumuisha yafuatayo
  • Kukodi mlango kwa ajili ya ofisi (done)
  • Kuweka partition za aluminium (done)
  • Kufanya feeting ya umeme (80% done)
  • Kumpata msimamizi na mshuhulikiaji wa shughuli za asasi (80% done)
  • Kuunga umeme (80% done)
  • Uandaaji wa Miongozo ya Usajili na Utowaji wa Mikopo (80% done)
  • Ombi la Usajili limeshawasili kwa Mkurugenzi husika baada ya kupata ridhaa ya Sheha wa Shehia ya Magomeni (Office Location)
Ni matumaini yetu kuwa ndani ya mwezi huu wa nne, shughuli za asasi zitazinduliwa rasmi

iSA kwa Mkopo Bila Riba

No comments:

Post a Comment