Asasi inajulikana kwa jina la ISLAMIC SACCOS OF AL – HILAAL ikiwa na maana ya Asasi ya Kuweka na Kukopa ya Kiislam ya Al-hilaal.
Makusudio yake ni kuwa, neno Al-hilaal lina maana ya mwezi mchanga ambao ndio unaotumika kuoneshea alama za mabadiliko ya nyakati kwa waislam. Hivyo Asasi itawaoneshea dira na muelekeo wa mabadiliko ya maisha ya waislam kwa kuwaangazia kiuchumi.
Monday, March 24, 2014
Office Innovation
Matengenezo yakiendelea katika Ofisi ya Saccos ya Kiislaam
No comments:
Post a Comment